04 May 2009 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Wazazi wenye ugonjwa wa akili huweza kuwaambukiza watoto wao
 
2009-05-04 21:23:02
Na EAR Habari

Watafiti nchini Uingereza wamesema kwamba watoto ambao wazazi wao wana matatizo ya ugonjwa wa akili wana uwezekano mkubwa wa kupatwa na ugonjwa huo au kuwa na tabia ambazo siyo sahihi.

Watafiti hao kutoka chuo kikuu cha Oxford wamesema kupitia kijarida cha Lancet kwamba wamefanya pitio na kuwa na ushahidi wa kutosha na kuongeza kuwa mtazamo mkubwa umekuwa ukiwekwa katika masuala ya akina mama kiakili.

Watafiti hao wamesema kuwa wavulana ndio ambao wanaweza kuathirika zaidi ikiwa wazazi wao wanakabiliwa na msongo au ni walevi wa kupindukia.

Wanaharakati wa magojwa ya akili wanasema kuwa wanaume katika jamii ndio wamekuwa na matatizo ya akili na mara nyingi kuomba msaada.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.