17 Apr 2009 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Kuna haja ya kila mfanyabiashara kujiunga katika vikundi na vyama vinavyohusika na maeneo ya biashara
 
2009-04-17 14:37:30
Na IT Habari

Baraza la taifa la biashara nchini TNBC limesema kuna haja kwa kila mfanyabiashara kujiunga katika vikundi na vyama vinavyohusika na maeneo ya biashara ili kuleta chachu ya ukusanyaji kodi katika kuisaidia serikali kukusanya mapato ambayo kwa sasa yamekuwa yakipotea.

Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam na katibu mtendaji wa baraza hilo Bw dunstan Mrutu wakati na mazungumzo yake na wajumbe wa kamati ya bunge ya viwanda ,biashara na masoko.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.