27 Apr 2009 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Sportsnews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Mashinado ya wazi ya gofu ya wanawake yamekosa msisimko
 
2009-04-27 12:24:31
By ITV Habari

Mashinado ya wazi ya gofu ya wanawake yamekosa msisimko kufuatia idadi ndogo wa washiriki waliojitokeza katika viwanja vya gymkhana kufuatia mvua zililzonesha jijini Dar es Salaam.

Msimamizi wa uwanja huo Roderick John amesema kati ya wachezaji 56 waliojiandikisha 38 ndio waliojitokeza.

  • SOURCE: ITV
TODAY
-----------------------------------------------
Editorial
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.