11 Aug 2009 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Kiswahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Kitaifa
 

Mawakili wa Zombe walia na Koplo Lema
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Mawakili wa utetezi kwenye kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini na dereva teksi mmoja, inayomkabili aliyekuwa Kaimu Kamanda na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Polisi wawakabili raia kwa risasi
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Polisi wilayani Rorya mkoa wa Mara, wamefyatua risasi za moto katikati ya raia na kuua watu wawili na kuwajeruhi wengine tisa.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Ulipuaji mabomu Dar wawili wazirai
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Watu wawili wamezirai baada ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) jana kufanya zoezi la kulipua mabomu katika kambi yake iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Kibaka aduwaza walinzi Ikulu
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Mfanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Ally Nasoro (41) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la kuingia Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

NCCR-Mageuzi Iringa wampongeza Mengi
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Chama cha NCCR-Mageuzi Manispaa ya Iringa, kimempongeza Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi, kwa kutaja hadharani majina ya watu wanaojihusisha na ufisadi mkubwa na kuwapa jina la `mafisadi papa`.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

`Bodaboda` yaua na kujeruhi wanafunzi
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Wanafunzi wawili waliokuwa wanasoma katika Shule ya Sekondari Ikoma wilayani hapa mkoa wa Mara wamepatwa na ajali mbaya iliyosababisha mmoja kufariki...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Wivu wa mapenzi waua mke Mara
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Mkazi wa Kijiji cha Magange Kata ya Ring`wani, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, Rose Sagati (24), amefariki dunia baada ya kuvunjwa shingo na mme wake Sagati Mwita, ambaye ni mganga wa kienyeji kwa wivu wa mapenzi.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Necta yawashtukia walimu 68 Euckenford
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Zaidi ya watahiniwa 68 wa walimu ngazi ya cheti daraja la III A kutoka Taasisi ya Elimu ya Euckenford, wameandamana hadi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, wakilalamikia...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Mgogoro wa ardhi wamalizika
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka saba kati ya wawekezaji wa mashamba ya kilimo cha rozela na wananchi wa Kijiji cha Mkalama, Kata ya Msama Rundugai wilayani Hai, umemalizika.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Akamatwa na vifaa vya kutengenezea noti bandia
Posted Fri, May,08 2009
Source Nipashe
Polisi mkoani Shinyanga, inamshikilia Marko Sayi (26), mkazi wa Nyahanga wilayani Kahama baada ya kumkamata akiwa na vifaa mbalimbali vya kutengenezea noti bandia.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

   
Biashara
 

Kuna haja ya kila mfanyabiashara kujiunga katika vikundi na vyama vinavyohusika na maeneo ya biashara
Posted Fri, April,17 2009
Source ITV
Baraza la taifa la biashara nchini TNBC limesema kuna haja kwa kila mfanyabiashara kujiunga katika vikundi na vyama vinavyohusika na maeneo ya biashara ili kuleta chachu ya ukusanyaji kodi katika kuisaidia serikali kukusanya mapato...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Benki ya wananchi wa Mwanga kupata leseni ya kupanua huduma zake
Posted Fri, April,17 2009
Source ITV
Benki ya wananchi wa Mwanga inatarajiwa kupata leseni ya kupanua huduma zake katika wilaya zote za mkoa wa kilimanjaro baada ya kufanikiwa kutimiza mashart yote yanayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania B.o.T.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

bado Tanzania haijawezeshwa vya kutosha kuhimili ushindani wa kibiashara
Posted Thu, April,09 2009
Source ITV
Tanzania bado haujafikia wakati muafaka kutekeleza makubaliano ya mkataba wa ubia wa kiuchumi baina ya yake na nchi za Ulaya-EPA kwani bado haijawezeshwa vya kutosha kuhimili ushindani wa kibiashara baina yake na Ulaya.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

FBME imetoa mkopo wa trekta nne kwa wakulima wa Malinyi Ulanga
Posted Thu, April,09 2009
Source ITV
Bank ya Federal Bank of Middle East -FBME imetoa mkopo wa trekta nne zinazogharimu zaidi ya shilingi million 150 kwa wakulima wa Malinyi Ulanga mkoani Morogoro kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa kilimo.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Viwanda vinavyozalisha nchini vimetakiwa kuhakikisha vinazalisha bidhaa bora
Posted Wed, April,01 2009
Source ITV
Waziri wa viwanda biashara na masoko Mh. Dr Mary Nagu amevitaka viwanda vonavyozalisha bidhaa mbalimbali hapa nchini kuhakikisha bidhaa wanazozalisha zinakuwa na ubora kwa soko la ndani na nje ya nchi.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

EPZ kukabidhiwa rasmi eneo la ukanda maalum wa kibiashara
Posted Wed, April,01 2009
Source ITV
Mamlaka ya ukanda wa mauzo ya nje EPZ inatarajia kukabidhiwa rasmi eneo la ukanda maalum wa kibiashara wa Benjamini William Mkapa ulioko eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapata wawekezaji wa sekta ya viwanda katika eneo hilo.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Shindano la Zain Afrika latengewa dola milioni moja za kimarekani
Posted Tue, March,31 2009
Source ITV
Kampuni ya simu za mkononi ya Zain imetenga dola za kimarekani milioni moja kwa ajili ya shindano la Zain Afrika linaloshirikisha vyuo kadhaa Barani Afrika .
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Wizara ya maliasili kutangaza utalii nje ya Tanzaia
Posted Tue, March,31 2009
Source ITV
Wizara ya maliasili na utalii imewekeana saini mkataba na kampuni ya mwaka wa kimataifa wa sayari ya dunia - IYPE mkataba wa kupiga picha za nyumbu na pundamilia wanaohama kutoka mbuga za Serengeti kuelekea Masai Mara ili kutangza vivutio hivyo.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Wafanyabiashara nchini kuacha kukwepa kulipa kodi
Posted Fri, March,27 2009
Source ITV
Serekali imewataka baadhi ya wafanyabiashara nchini kuacha kukwepa kulipa kodi na badala yake walipe kwa wakati ili kuongeza pato la nchi katika kipindi hiki kigumu cha uchumi duniani.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Wajasiriamali nchini kukutana ili kubadilishana mawazo
Posted Fri, March,27 2009
Source ITV
Jopo la wataalamu wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na taasisi ya sekta binafsi na wadau wa biashara nchini wameandaa maadhimisho ya siku ya mjasiriamali kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kupata mikopo ya mitaji na athari za mgogoro wa fedh
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

   
Afya
 

`Mbinu za kinga ya malaria ziboreshwe\'
Posted Tue, February,17 2009
Source Nipashe
Waziri wa Afya wa Uganda, Dk. Emmanuel Otaala, amesema kuna haja ya kuboresha mbinu za utoaji huduma na kinga, ili kufanikisha vita dhidi ya ugonjwa wa malaria kwenye nchi za kiafrika.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Taasisi ya Saratani ya jijini Ocean Road imeanza kuzidiwa
Posted Sat, January,24 2009
Source ITV
Taasisi ya Saratani ya jijini Ocean Road imeanza kuzidiwa kutoa huduma za tiba hiyo kwa wagonjwa wapya kutokana na idadi ya wagonjwa hao kuongezeka kila mwaka na kufikia wagonjwa elfu arobaini wanaohitaji tiba hiyo kwa mwaka .
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

Serikali ihakikisha inatoa elimu ya kutosha juu ya dalili za magonjwa ya kisukari
Posted Sat, November,15 2008
Source ITV
Serikali imetakiwa kuhakikisha inatoa elimu ya kutosha juu ya dalili za magonjwa ya kisukari na moyo ili kuisaidia jamii kufika katika zahanati na vituo vya afya kwa ajili ya kupata ushauri na matibabu ya magonjwa hayo badala ya...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 0

 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.