MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  PostedComments
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Comment This Article Send this article

Utata uchunguzi vinasa sauti chumbani...


Tatizo kubwa tulilo nalo hapa nchini ni viongozi wetu wa taasisi za umma kutokuwa wakweli ktk kushughulikia jambo fulani hasa linalohusu matikio makubwa. Kamanda nasema kuna utata kwa sababu mtoto wa Slaa aliingia kwenye chumba hicho siku ya tukio mbona basi hatuambii na kwenye chumba cha huyo mbunge mwingine je hao watoto nako waliingia??? Kama hawakuingia mbona basi anataka kuwahusisha na tukio hilo badala ya kutafuta wahisika ni kina nani? Kwa kua Slaa mwenyewe kasema aliambiwa na rafiki yake awe macho juu ya uwepo wa vinasa sauti nadhani ni mwanzo mzuri wa kuwajua wahusika maana yaelekea wanajulikana ila kutokana na jeshi letu kutojua mbinu za kufuatilia jambo bila kumtaja mtoa siri wenye kujua jambo fulani huogopa kutoa taarifa sahihi maana baada ya kutoa siri polisi huwageuka na kupoteza ushahidi pale wanapobaini wahusika ni wakubwa[vigogo wa serikali]Ikiwa uongozi wa hotel waliweza kujua mtoto wake kaingia na kutoka muda gani pia watajua nani mwingine kaingia humo vyumbani.

Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.