MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  PostedComments
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Comment This Article Send this article

Siri za Masha na Sagem zafichuka


Nikiwa ni kati ya watanzania wenye uchungu na Nchi hii , naviomba vyombo vinavyoshughulikia haki na usalama wa nchi hii, vichukulie kwa uzito unaostahili suala la Mhe Macha kufanya vituko hivi na vya aibu kwa Taifa kwa umakini wa hali ya juu. Kwa maoni yangu, namwomba Mhe Rais aliangalie suala hili kwa mapana zaidi, kwani wale waliopewa dhamana ya kulinda maslahi ya Taifa ndio wamekuwa mstari wa mbele kudidimiza uchumiwa Taifa kwa maslahi yao binafsi. Pongezi nyingi ziende kwa vyombo vya habari kwa kufichua maovu haya.
  • Comment by OSHON MOSHI
  • Date              Tuesday 10 February 2009
  • View Original Story

Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.