MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  PostedComments
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Comment This Article Send this article

Serikali yazirejesha nyumba 120 zilizouzwa


Hata hivyo kuna MBUNGE mmoja wa Chama cha CCM amepora nyumba ya Shirika la Umma Mjini Mwanza Kwa Kudai Kwamba ni ya urithi toka Kwa babu yake. Habari za Uhakika ni kwamba Nyumba hiyo ya NIRM (East African Community) ilikabidhiwa kwa Roman Catholic na Kutoonyeshwa katika kubukubu zao japo wafanyakazi mbalimbali wa Roman Catholic waliendelea kuitumia miaka nenda rudi,mbunge huyu akiwa mmoja watumiaji. Baada ya kugudua kwambanyumba hii haiko popote ktk kumbukumbu za Roman alifisadi nyaraka mbalimbali za kijimilikisha kisheria hadi kufanikiwa kufanya hivyo. Nyumba ni Mali ya Gereza la kwanza la mjini Mwanza ambalo lilikuwa - Kitangiri ambazo baada ya gereza kuhamia Butimba nyumba hizi zilikambithiwa kwa NIRM
  • Comment by JumaKumalija
  • Date              Friday 13 February 2009
  • View Original Story

Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.