MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  PostedComments
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Comment This Article Send this article

Rais Mwinyi apigwa kofi jukwaani


politics is a bad game. a minal thing can distort your popularity in a second. Just see what happened to Mwinyi now, he has been slaped in public while addressing the audience. what a shameful act to Mwinyi

the ction of ex-president mwinyi to be beaten it is illogica ,but on the othor hand it showed how the tanzanian are serious.So it can be the warn to others leaders.It me from SAUT-MWANZA
  • Comment by sichone barnabas
  • Date              Thursday 12 March 2009
  • View Original Story

Inasikitisha kusikia raisi mstaafu anapigwa kibao jukwaani,ni imani yangu huyo kijana aliefanya hivyo si kichaa,bali alipandwa na hasira kumuona mtu mzima kama Mwinyi kuongea au kuchochea zinaa. Mwinyi hatakiwi kufundisha watu kuvaa mipira,bali anatakiwa kukataza zinaa,kama vile yeye akiwa ni mtu mzima na ni muislam. Inshaalah mungu atamsamehe madhambi yake bwana Mwinyi na huyo mpiga kibao si busara kuendelea kuteswa.mungu ibariki Tanzania,wabariki watanzania.

Nimesikitishwa sana kwa kupigwa kwa kiongozi mkubwa kama huyo.Huyo aliyempiga inawezekana kichwa chake sio kizima achunguzwe zaidi.
  • Comment by Magreth Minja
  • Date              Thursday 12 March 2009
  • View Original Story

Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.