MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  PostedComments
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Comment This Article Send this article

Huzuni yatanda mazishi ya raia aliyeuawa na Polisi


JESHI LA POLISI LIMEZOEA KUFANYA MAUAJI YA RAIA WASIOKUA NA HATIA NA KUWABAMBIKIZIA UONGO KUWA NI MAJAMBAZI HIVYO NINAOMBA MKUU WA JESHI HILO AFANYE JITIHADA YA KUWASAFISHA WAKOROFI WACHECHE WANAOLICHAFUA JESHI HILO.HALAFU HAO WALIOHUSIKA NA HIVYO VIFO SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE IKIBIDI NAO WANYONGWE.

Kuna uwezekano kwamba maaskari na mapolisi wetu hawana mafunzo kamili ya kukabiliana na kujua ni kosa gani linalostahili kifo kwa mhalifu. Wanachojua ni kuua. Pia wanashindwa kuelewa kwamba unapomuua mhalifu unakosa ushahidi katika vitendo vya uhalifu. Tafadhali vyombo vya dola vieleimshwe namna ya kukabiliana na wahalifu na kujali zaidi uhai wa watu.
  • Comment by Macrina
  • Date              Thursday 12 March 2009
  • View Original Story

Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.